Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewataka wanawake nchini humo wasivuke mpaka wa kuwadharau waume zao, wakitumia vibaya sera ya kupewa haki zao.
Matamshi hayo ya Rais w Uganda yamekuja kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani.
Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii hapa chini ya mwandishi wa Radio Tehran mjini Kampala
No comments:
Post a Comment