Pages

Friday, March 14, 2014

Pingamizi lililowekwa na Mgombea wa CUF kwa Mgombea wa Chadema Ubunge Chalinze.

Hii ni ya leo March 13 2014 ambayo inamuhusu Mgombea ubunge kwa tiketi ya Cuf  jimbo la Chalinze kwenda kwa mgombea mwenzake wa jimbo hilo hilo wa Chadema.

Mgombea huyo ni Fabian L. Skauki ambaye ni anagombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa kumuwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mathayo Torongey kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea.
kwa habar zaid bonyeza hapa---http://millardayo.com/cuf001/

No comments:

Post a Comment