Washukiwa wanne wa uhaini waliokamatwa wiki iliyopita nchini Rwanda wamefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Jumatatu hii. Baadhi ya watuhumiwa wamekiri kuhusika kwenye njama za kutaka kufanya mauaji dhidi ya viongozi wa serikali akiwemo Rais Paul Kagame.
Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.http://kiswahili.irib.ir/habari/mahojiano/item/39709-watuhumiwa-wa-uhaini-wapandishwa-kizimbani-rwanda
No comments:
Post a Comment